Wokovu Kupitia Yesu Kristo
Kumbuka: ukipenda, hapa kuna toleo la PDF la "Wokovu Kupitia Yesu Kristo" Ujumbe wa Mwana wa Mungu kuja duniani ulikuwa kuleta wokovu kwa mtu aliyepotea, mwenye dhambi, na kupatanisha uhusiano wa mwanadamu na Baba yake wa mbinguni kupitia kuondolewa kwa dhambi. "Kwa maana Mwana wa Mtu amekuja… Soma zaidi