Kanisa ni Nyumba ya Kiroho ya Makao ya Mungu Duniani
Katikati ya ulimwengu uliojaa dhambi na uovu, Mungu daima amekuwa na kielelezo cha nyumba ya yeye kukaa. Mahali ambapo watu wa Mungu wanaweza kukutana naye. Katika Agano la Kale ilikuwa kwanza katika Maskani, na baadaye katika Hekalu ndani ya Yerusalemu. Katika Mpya… Soma zaidi