Tuko Katika Vita (Sehemu ya 2)
Wiki iliyopita tulijadili kuwa tuko katika vita vya kiroho dhidi ya shetani. Tulijadili pia kwamba tunahitaji kusimama kwa jina la Yesu na kwa nguvu ya Roho Mtakatifu anayefanya kazi ndani yetu kupigana na adui. Adui yetu ni shetani, na yeye haurudi nyuma; shetani… Soma zaidi