Uhitaji wa Maombi ya Kila Siku
Maisha ya kweli ya Kikristo na kazi ya Kikristo, ni vitu ambavyo haviwezekani bila Mungu. Tunahitaji majibu ya maombi. Kwa mfano: isipokuwa Bwana atafanya mabadiliko ndani yetu - mioyo yetu haibadiliki kabisa. “Je! Mkushi aweza kubadilisha ngozi yake, au chui madoa yake? basi na ninyi pia mwaweza kufanya mema, ambayo ni… Soma zaidi