Dhambi ni nini?
Leo tutazungumza juu ya mada ambayo itatusaidia kujibu swali zito. Mada ni dhambi, na swali ni "dhambi ni nini?" Tunaweza kupata majibu mengi kwa swali hili leo. Je! unajua katika duru fulani za kidini, watu hufundisha kwamba hatuwezi kamwe kuwekwa huru kutoka kwa dhambi? Wanaita kila… Soma zaidi